1.Elingaya
Elingaya wa Ndaashuka wa Makyenja - Elingaya Ndaashuka alizaliwa mnamo mwaka 1872 na kufariki mnamo mwaka 1959. Elingaya alikuwa na wanawake sita nao ni Maroua, Kaaney, Eshiwakwe, Malaseko I &2. Elingaya alijaliwa watoto kumi (10) wa kiume na watoto kumi na nne (14) wa kike. Elingaya alishiriki vita mbalimbali ikiwepo vita ya wamachame na wakibosho. Mke wake Maroua ni mateka wa vita vya kibosho, watu waliotekwa vitani waligawanywa kwa utaratibu na maelekezo ya viongozi wa Jeshi. Kuna Wakati Elingaya alilala juu ya paa kuwalinda wadogo zake wasitekwe nyara. . .2.Ujio wa Kanisa
Wamisionari walipokuja kwa mara ya kwanza walipokelewa vizuri na Elingaya na wenzake mfano nzuri wa kulionyesha hili ni pamoja na watu kukubali kubatizwa na kuwa wakristo na hata wengine kufikia kufanya maamuzi magumu kama alivyofanya Vangaeli kuacha mke ili akubalike kwenye utumishi wa kanisa. Wamishionary walifikia Machame na kuweka makao hapo walikua wanakwenda maeneo haya mengine kipinda cha ibada na baada ya ibada kurejea Machame, hiki ni kipindi cha kuanzia mwaka 1894 walipofika NkoaringoFamilia ya Eliavinga Imbianndumi
Huyu Barnaba Ngalami ni Baba yake na Bi Tabitha .Barnaba Ngalami alikuwa mfugaji mahiri sana kipindi hicho na mifugo ilinona sana. .
Mzee Imbianndumi Ndashuka alimaliza safari yake mwaka 1984 akiwa na uzee mwema wa miaka 114 na rekodi bora kabisa (Nndumi Narumishwa Nde na Ma!) .
Eliapenda
,Ndeshifwaya,
Oberilini,
Ezekia,
Shanshaeli,
Furaeli
,Ndenashikwa,
Apaaisaria
,Kyekue,
Eliona,
na wengine.
-Imbianndumi
-Masika
-Oshoseny
-Manswee….Mungomae aliolewa
-Ndeanshikarisa
2. Kaaney3.Eshiwakwe
-Eliapenda (alikuja na mama
-Ndeshifwaya( “ )
-Oberilin
- Ezekia
-Shanshaeli (mke wa Shileruywa).
4. Malaseko 1 – Furaeli
-Ndenashikwa
5.Malaseko 2. Elizabeth--
Mama Traeli
-Apaaisaria
-Kyekue
-Eliona
FAMILIA YA IMBIANNDUMI ELINGAYA NDASHUKA
Masika Elingaya Ndashuka wa Makyenja alizaliwa --- ni mtoto wa -- aliishi Nguni Matikoni. Watoto wake ni Ahimidiwe ... .
Oshoseny Elingaya Ndashuka ni mtoto wa --- kwa Elingaya kati ya watoto 21 wa Elingaya .Imbianndumi na Oshoseny mama yao ni Maroua, Oshoseny alizaliwa----19-- huko Matikoni Ng'uni Watoto wake ni Sifaeli....
Huyu ni dada yake na Imbiandumi. Manswee aliolewa kule Kaango- Mungoamae, watoto wa Manswee ni ..... Mtoto wake mmoja aliolewa kwa Kira kule Mungoamae
Ndeashikarisa ni mtoto wa Elingaya kwa mama Maroua, huyu ni mama mmoja na Imbianndumi. Huyu aliishi ---- wat .
Mchg.Oberilini Elingaya Ndashuka ni mtoto wa ... kwa mzee Elingaya Ndashuka. Mama yake Oberilini ni Eshiwakwe. Huyu Eshiwakwe alikuja na watoto wengine ambao sio wa Elingaya mmoja wapo akiwa ni Eliapenda.Mchungaji Oberilini ndie mtoto pekee wa Elingaya aliyebaki hata sasa wengine wote walishafariki.
VANGAELI AKUBALI KUACHA MKE ILI AWE MZEE WA KANISA.
Vangaeli ni Mtoto wa Ndashuka ni mdogo wake Elingaya. Wamisionary walipokuja Ng'uni walipokelewa vizuri sana , kulikuwa hakuna mtu mwenye sifa ya kuwa mzee wa kanisa ndipo Vangaeli aka acha mke mmoja na kumpa ndugu yake yeye akabakia na mke mmoja badala ya wawili aliokuwa nao awali ili apate sifa za kuwa mzee wa kanisa, Vangaeli akawa mzee kiongozi wa kanisa la Ng'uni .
.FAMILIA YAA IMBIANNDUMI ELINGAYA NDASHUKA
Tarama
Hannah
Barnabas Niko