1). Barnaba Ngalami

Barnaba Ngalami Mmari ndiye Baba yake na Bibi Tabitha.Barnaba alizaliwa mnamo mwaka 18.. akafariki mwaka 1945,mke wake akifariki mwaka 1989. Baba yake Barnaba, Ngalami —alikuwa Chifu(Mangi) wa Siha alinyongwa na Wakoloni, pamoja naye kuna machifu wengine walio nyogwa sehemu mbalimbali za Tanganyika, hawa ni mashujaa wetu. - Barnaba alichukua nafasi yake - Shangali akanfitini Gideoni akachukua Umangi wa Siha badala ya Barnaba - Kutokana na mzozo uliokuwepo Barnaba aliamua kuondoka huko Siha na kuja pande za Machame na katika safari yake ya kutafuta makao akaja kuishi hapo Losaa . .

2a).Barnaba Ngalami aliishi wapi

Barnaba Ngalami aliishi pale Rawashi jirani kabisa na makazi ya mjukuu wake Barnaba Imbiandumi Munuo, baadae alihama pale akakimbilia Siha na baadae Meru -Akeri kutokana na tishio la Mangi(aligombana na Mangi wa Machame)

Babu Barnaba Ngalami alitokea Siha kabla ya kuja kuishi hapo Lukani Losaa ambapo alifanya kazi ya ufugaji. Ufugaji wake ulikuwa wa mfano .Huyu Barnaba Ngalami ni Baba yake na Bi Tabitha .

2b).Barnaba Ngalami agombana na Mangi

Barnaba alikuwa ni mtu mkorofi sana, Barnaba Ngalami alikuwa mfugaji mahiri sana kipindi hicho na mifugo ilinona sana.Kama kawaida ya ufalme (uMangi) kitu chochote kizuri ni cha mfalme(Mangi). Huwezi kula mbuzi yako nzuri iliyonona hiyo ni ya Mangi!.Chochote kizuri ni cha Mangi.Mangi alikuwa na 'Njama' wapambe. Hawa kazi yao ni kupita na kuangalia nani ana kitu kizuri na kupeleka taarifa kwa Mangi. Hawa walipita kwa Barnaba na kuona mifugo minono, walipeleka taarifa na Mangi akatuma watu kuchukua, yeye alikataa na kusema Mangi kama anataka mbuzi au ng'ombe nono afuge wa kwake.Mangi alipopelekewa hizi taarifa alikasirika sana na kutoa amri Barnaba aangamizwe na kila alichonacho.

Huyu Barnaba Ngalami ni Baba yake na Bi Tabitha .Barnaba Ngalami alikuwa mfugaji mahiri sana kipindi hicho na mifugo ilinona sana. .

Mzee Imbianndumi Ndashuka alimaliza safari yake mwaka 1988 akiwa na uzee mwema wa miaka 114 na rekodi bora kabisa (Nndumi Narumishwa Nde na Ma!) .

3.Watoto wa Barnaba Ngalami
Tabitha

Rote

Helena

David

Gabriel

Aishi

Eliasara .

Amosi

Ndevangwa

Apansia

2c). Mzee Elinewinga amtorosha Barnaba Ngalami

Mzee Elinewinga akiwa 'Nshili' ndiye aliyetakiwa kuongoza zoezi hilo. Lakini kabla ya zoezi kutendeka, 'Nshili' Elinewinga alimtuma kijana wake mzee Aleendwa Natai(huyu alikuwa kijana wakati huo) ampelekee taarifa hizo usiku na usiku huo huo Barnaba Mmari aliondoka na familia yake na mifugo kuelekea Siha na baadae walielekea Meru maeneo ya Sangisi ambako alinunua Boma lililokuwa tayari huko Akeri. Elinewinga na jeshi lake walipokwenda pale kesho yake walikuta Boma tupu.
2d).Elinewinga apewa mke toka kwa Barnaba.
Mtoto wa kwanza wa Elinewinga alikuja kuoa mjukuu wa kwanza wa Barnaba Ngalami kama kulipa fadhila japo kwa wakati huo Barnaba Ngalami hakuwapo tena, ila mke wake alikuwepo. Mzee Barnaba Ngalami alimaliza safari yake mwaka 1945 na mke wake ambaye ni mama yake na Bibi Tabitha alimaliza safari yake mwaka 1989 akiwa na uzee mwema na rekodi bora kabisa .Huyu Bibi alikuwa na miaka zaidi ya 120 lakini alikuwa na uwezo wa kusafiri kwenda hata Dar es Salaam bila shida. Kimsingi huyu bibi ni miongoni wa watu walioishi miaka mingi katika kizazi chetu (Nndumi Narumishwa Nde na Ma!)

3.Watoto wa Barnaba.

Mtoto wa kwanza ni Tabitha , huyu aliolewa na Babu Imbianndumi Elingaya Ndaashuka na waliishi Matikoni Ng'uni

.

Mtoto wa pili ni Rote huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa tatu ni Helena huyu naye aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa nne ni David Barnaba huyu aliishi pale sufi jirani na kanisa la Lutherani, huyu alichukua mashamba ya baba yake yale yaliyokuwa maeneo ya Lukani, Losaa na Sufi. Mzee Elinewinga akiwa Nchili alisimamia hili

.

Mtoto wa tano ni Gabriel huyu aliishi huko Meru

.

Mtoto wa sita ni Aishi huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa saba ni Amosi huyu alishi huko Meru

.

Mtoto wa nane ni Eliasara huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa Ndewangwa huyu aliishi huko Meru

.

Mtoto wa tisa ni Apansia huyu aliolewa huko Machame kwa Ndanshau

.

Tabitha

Tabitha Barnaba alifunga ndoa na Imbianndumi Elingaya Ndaashuka wa Matikoni Ng'uni. Watoto wa Tabitha Barnaba ni Eliavinga, Hannah, Barnaba, Anaeli ,Nicolaus,Immanueli,Isaya .

Baba wa Bibi

Rote Barnaba

Mwaka 1916 alikwenda vitani (vita kuu ya kwanza ya dunia 1914-1919). Wakati wanarudi toka vitani walitembea toka (Posta) Dar es Salaam mpaka nyumbani Lukani , safari yao walianza watu 7 kwenda Moshi ni wawili tu walifika katika hiyo safari.Aliporudi kutoka vitani alioa Bibi Elikyesia Nsero mnamo 1920 .

  • 1916-1919 -Alikwenda Vitani
  • 1920- Alioa
  • 1925- Alibatizwa kule Masama
  • 1937-Alichaguliwa kuwa Nshili

1960-Alistaafu Uongozi

Helena

Watoto wa Ndesamburo (mama mkubwa) -Shilewinga(1906), Senjiaeli, Samiael(Baba yake Samson Kileo),Mwl. Onael, Shilekirwa(Magazeti),Nkanturu(ndo mtoto wa kwanza alizaliwa 1902 hakubatizwa naye kama Nsero), na Ndumaeli (mke wa Fitakyasa Natai) .

Baba mdogo

David Barnaba

David Barnaba - Huyu ni mtoto wa kwanza wa kiume ambaye ameridhi mashamba ya Barnaba aliyoacha maeneo ya masama na sanya. David aliweka makao yake pale Sufi jirani na kanisa la lutherani .

Baba mdogo

Vana vya Nsero

Watoto wa Nsero(mke mkubwa) - Daniel (Kwake ni Sufi njia ya kutokea Yuri), Reuben Kileo (Baba yake Jesmat), Bariki (kwake ni Nkwatuke),Elipokea (alikuwa meneja wa TANESCO Mafia, Baada ya Elipokea walizaliwa wanawake wawili (majina sikumbuki) mmoja aliolewa kwa Munuo huko Ng'uni, na mwingine aliolewa Mashua inasemekana mme wake alipata kichaa

Baba wa Bibi

Nsero

Watoto wa Nsero(mke mdogo) - Daniel (Kwake ni Sufi njia ya kutokea Yuri), Reuben Kileo (Baba yake Jesmat), Bariki (kwake ni Nkwatuke),Elipokea (alikuwa meneja wa TANESCO Mafia, Baada ya Elipokea walizaliwa wanawake wawili (majina sikumbuki) mmoja aliolewa kwa Munuo huko Ng'uni, na mwingine aliolewa Mashua inasemekana mme wake alipata kichaa

Baba wa Bibi

3. Watoto wa Barnaba

Mtoto wa kwanza ni Tabitha , huyu aliolewa na Babu Imbianndumi Elingaya Ndaashuka na waliishi Matikoni Ng'uni

.

Mtoto wa pili ni Rote huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa tatu ni Helena huyu naye aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa nne ni David Barnaba huyu aliishi pale sufi jirani na kanisa la Lutherani, huyu alichukua mashamba ya baba yake yale yaliyokuwa maeneo ya Lukani, Losaa na Sufi. Mzee Elinewinga akiwa Nchili alisimamia hili

.

Mtoto wa tano ni Gabriel huyu aliishi huko Meru

.

Mtoto wa sita ni Aishi huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa saba ni Amosi huyu alishi huko Meru

.

Mtoto wa nane ni Eliasara huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa Ndewangwa huyu aliishi huko Meru

.

Mtoto wa tisa ni Apansia huyu aliolewa huko Machame kwa Ndanshau

Imbianndumi Family
Familia ya Mchungaji Barnaba Munuo

Familia ya Mwl.Anaeli

Familia ya Lord N.I.Ndashuka
N.I.Ndashuka

Familia ya Lord N.I.Munuo

Tabita

Rote

Helena

Aishi
Apansia

Familia ya Taramaeli Munuo