1).Eliombera - Kuzaliwa.
Eliombera Sindaeli alizaliwa mwaka 19 . Eliombera ni dada yake na mama yake mke wa Aseri Elinewinga ( Bibi yake na Disraeli Aseri) . Kwa kifupi Baba mdogo Rowland ni Mjomba wake Disraeli na ni Baba mdogo wake Disraeli2).Eliombera - Kubatizwa.
.2).NATAI - HISTORY BACKGROUND.
Na kweli tumeona Bwana alimfanya kuwa mshindi kwelikweli,Haleluya! (Zab.60:12) .
Mzee Elinewinga Menda Nnyaka alimaliza safari yake mwaka 1984 akiwa na uzee mwema wa miaka 114 na rekodi bora kabisa (Nndumi Narumishwa Nde na Ma!) .
3. Elinewinga Maana yake nini.
Elinewinga maana yake ni Bwana alinifanya kuwa mshindi! Na kweli tumeona Bwana alimfanya kuwa mshindi kwelikweli,Haleluya! (Zab.60:12) Wanaoniheshimu nitawaheshimu na wao wanaonidharau watahesabiwa kuwa si kitu! (1 Sam.2:30 ).
.Kwa hili kila mtu ajitafakari ni kivipi anamheshimu Bwana,utafiti wa haraka waonyesha wote waliomheshimu Bwana waliacha watu baada yao sio "Maraami"(angalia kila lilipofika kanisa na pale ambapo halikufika watu wake wakoje?).Kama unawapenda watoto wako jifunze kumheshimu Bwana naye atasimama na wanao Mwa. 26:2-5, Zab.112:2 (wazao wake watakuwa hodari) .
ONDUMAI .
NATAI .
UNGESI .
a) Nange b)Natai.
a1)Nsariko b1). Marang'a .
a1i).Ulomi...a1ii).Meturumu...a1iii)Nnyaka...a1iv).Meenda...a1v).Elinewinga .
a2i).Makaro...a2ii).Ruwele..a2iii).Salema...a2iv).Kirenga...a2v).Rundyaeli .
b1.Natai....b2.Marang'a....b3.Ntele....b4.Nkyeyo....b5.Kikoka....b6.Mantiri....b7.Omari...b8.Hoseya.
.Watoto wa Sindaeli.
Elilia - Mtoto wa pili wa Sindaeli, makazi yake ni Yuri chini ya kwa Robert .
Elieshi Nlula- Aliolewa na mdogo wake na mwalimu Nlula pale Kashashi jirani na Alexander Itael .
Ananndumii - Huyu naye alibaki Kirongoni ANANNDUMI .
Terevaeli - Huyu ni Medical Doctor amekuwa akifanya kazi hospitali mbalimbali mara ya mwisho alikuwa hospitali moja pale Bomang'ombe
Ngao Elinewinga
Elikarisa - Huyu aliolewa kwa Elfasi Ngunda hapo Mungomae (Ni mama yake na mama yake Disra).
vii.Ndeshifwaya - Huyu makazi yake ni Lemira (watoto wake walikuwa na duka Moshi mjini double road.
.viii.Eliakundi - Huyu alikuwa Mhandisi huko Shinyanga ameshastaafu amerudi nyumbani.
6). Elinewinga na Uongozi.
Mwaka 1936 mzee Elinewinga Nnyaka alichaguliwa kuwa 'Nshili' (Kiongozi) wa Lukani na Ng'uni na baadae aliongezewa eneeo la Kyuu. Akiwa 'Nshili' alishawishi wananchi wa Lukani,Ng'uni na Kyuu kushika mashamba na kulima katika maeneo ya Yuri,Sufi na Lawate ambayo yalikuwa mapori. Yeye mwenyewe alionyesha mfano kwa kushika mashamba ya kutosha ambayo mpaka leo wajukuu wengi wamemilikishwa ! Akiwa Nshili wa Maeneo haya alifungua barabara za mitaa yote ya maeneo hayo! Vile vile alichaguliwa kuwa Bwana shamba wa eneo lote la Masama.